• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba

Utawala na Rasilimali watu

Idara ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu inaongozwa na Mkurugenzi.

Kazi zake ni:
 Kutoa mikakati ya kimenejimenti katika utawala na maendeleo ya rasilimali watu kama vile kuajiri, mafunzo, kuhamasisha kutoa huduma kwa watumishi na usimamizi wa katika utendaji;
 Kuhakiki usimamizi wa rasilimali watu katika Wizara;
 Kuunganisha kati ya Wizara na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika utendaji wa menejimenti ya utumishi wa umma;
 Kutoa huduma ya maelezo na kutunza kumbukumbu za taarifa za rasilimali watu.

Sehemu ya Usimamizi ni:

 Kutafsiri kanuni za huduma za umma, kanuni Standing Order na sheria zingine za kazi;
 Kusimamia uhusiano mzuri wa wafanyakazi na ustawi pamoja na afya, usalama, michezo na utamaduni;
 Kutoa usajili, kuweka kumbukumbu za Ofisi na huduma za wahudumu;
 Inasimamia masuala ya kanuni.
 Kutoa huduma za ulinzi, usafiri na mambo mengine ya kiutawala kwa ujumla;
 Kutekeleza mambo mbalimbali ikiwemo jinsia, wasiojiweza, Wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi na Ukimwi;
 Kufuatilia utekelezaji wa ushiriki sekta binafsi katika Wizara;
 Kusimamia jukumu la utekelezaji wa mkataba wa huduma kwa wateja wa Wizara.

Sehemu ya menejimenti ya Rasilimali Watu

 Inasimamia zoezi zima la ajira ikiwemo kukusanya, kuchagua, kuchukua, kuthibitisha kazini pamoja na uhamisho;
 Inahusika na maendeleo na mafunzo ya rasilimali watu;
 Inasimamia mafunzo ya awali na programu za utangulizi kwa waajiriwa wapya;
 Kuweka mipango ya rasilimali watu ili kujua mahitaji na idadi ya wataalamu walio chini ya Wizara;
 Kusimamia mishahara na kuandaa idadi ya watu wote walioajiriwa;
 Kusimamia utekelezaji wa malengo na mfumo wa wazi wa kupima utekelezaji wa watumishi wa Wizara.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA MWENGE April 09, 2017
  • WIMBO WA MWENGE April 09, 2017
  • TANGAZO LA KUNYWA DAWA ZA MINYOO YA TUMBO April 26, 2017
  • Nafasi za kazi mbalimbali serikalini July 11, 2018
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • Waheshimiwa madiwani wasifia Bajeti ya Halmashauri ya Mlele

    February 08, 2019
  • Mkuu wa Wilaya atembelea na kukagua Madarasa yanayojengwa

    January 28, 2019
  • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kujikita katika Vipaumbele vya Taifa

    January 24, 2019
  • NINA FURAHI NINAPO KUJA MLELE DC KWA KUWA MNAFANYA VIZURI KATIKA KILA JAMBO-RC AMOS MAKALA.

    January 16, 2019
  • Waonaji wote

Video

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +255759023788

    Simu ya Kiganjani: 0759023788

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa