• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Huduma
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii

          Sekta ya Afya na Ustawi wa Jamii inaongozwa na Dr. Thadeus Makwanda ambaye ndiye Mganga Mkuu wa Halmashauri. Afya na Ustawi wa Jamii katika ngazi ya Halmashauri ni sehemu ya Idara zinazounda Kamati ya uendeshaji wa Halmashauri 'Council Health Management Team' (CHMT) hutoa huduma za afya kiufundi na huduma ya jamii ushauri wa maendeleo ndani ya Wilaya. 

Dhamira ni Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati ili ziweze kutoa Huduma bora ya Afya kwa Umma. Sekta ya afya na Ustawi wa kijamii pia ina lengo la kuwezesha utoaji wa afya kinga, tiba, maendeleo ya afya na ustawi wa jamii katika Wilaya.

Wilaya Mlele ina vituo vya afya 3 vinavyotoa huduma,  na Zahanati 6. Halmashauri ya Wilaya ya Mlele haina Hospitali ya wilaya na inatumia hospitali ya Wasso kama hospitali teule ya Wilaya kwani inatoa huduma ambayo ni sawa na Hospitali pamoja na idadi ya watu wa kuwahudumia.

Mpango Mkakati

Wilaya inaendelea kutoa huduma za Afya (Tiba na Kinga) kwa wananchi wake kupitia vituo vyake na hupokea dawa kutoka bohari kuu ya madawa (MSD) kupitia mfumo wa Ugavi mkuu –Intergrated Logistic system (ILS) kwa ruzuku mbalimbali na fedha za wafadhili.

Shughuli nyingine zinazotekelezwa na Idara ni pamoja na:-

Kuandaa na kupeleka orodha ya mahitaji ya dawa kwa vituo vyote vya kutolea huduma wilayani (ILS) pamoja na dawa za kupunguza makali ya UKIMWI (ARV), TB na vitendanishi Lab. (Reagents) MSD.

Kuratibu na kusimamia zoezi la utoaji dawa za minyoo kwa watoto wote walio na umri wa kwenda shule ya msingi na chekechea kuanzia umri wa miaka 5 hadi 14.

Kusimamia zoezi la ukusanyaji damu salama pindi linapofanyika. Baadhi ya maeneo ambapo zoezi hili linafanyika ni katika shule za sekondari na kwenye taasisi mbalimbali.

Kazi ya utambuzi wa wazee wilayani ilifanyika ambapo wazee.

Usimamizi wa uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya wazee katika ngazi za Kata.

Kufanya ziara ya usimamizi katika vituo vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi Wilayani

Uhamasishaji kwa wanakaya kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF).

Usambazaji wa dawa za chanjo pamoja na baadhi ya dawa muhimu (essential medicines ) kwa vituo vyote vya kutolea huduma za Afya Wilayani

Kuendesha huduma za Kliniki za mikoba (outreach and mobile clinics) kupitia vituo vya kutolea huduma za afya na ndege.

Uhamasishaji wa wakunga wa jadi juu ya uzazi salama na umuhimu wa kuwapeleka kina mama wajawazito katika vituo vya kutolea huduma wakati wa kujifungua

Kufanya zoezi la mabadiliko ya chanjo ya polio kutoka t OPV kwenda b OPV katika ngazi zote Wilay

Matangazo

  • Matokeo ya darasa saba mtihani wa TAIFA December 01, 2022
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Tangazo la kuitwa KAZINI December 23, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • ujenzi wa vyumba vya madarasa wakamilika.

    January 02, 2023
  • ujenzi wa vyumba vya madarasa wakamilika.

    January 02, 2023
  • ujenzi wa vyumba vya madarasa wakamilika.

    January 02, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAPONGEZWA UKUSANYAJI MAPATO.

    December 15, 2022
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0762362950

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa