• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mafunzo ya mfumo wa manunuzi

Posted on: September 2nd, 2024

 Na Kibada Ernest- GCO Mlele

Mafunzo ya Mfumo wa Manunuzi kwa Wakuu wa Vitengo na Divisheni wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kuongeza uwajibikaji wa Kifedha

Katika kuhakikisha usimamizi bora wa fedha  na rasilimali za umma,Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya, Wakuu wa Vitengo na Division,Wakuu wa Shule za Sekondari,Walimu Wakuu,Waganga wafawidhi wa Zahanati na vituo vya Maafisa watendaji wa Kata na Vijiji,pamoja  na watoa huduma kwenye vituo vya Afya katika Halmashauri ya  wilaya ya Mlele wamepatiwa mafunzo  ya mfumo wa manunuzi ya umma.

Mafunzo hayo yanalengo la kuwajengea uwezo   kuhusu mfumo wa manunuzi wa kisasa.

Kupitia  mafunzo wanatarajia kuboresha ufanisi na uwazi katika taratibu za manunuzi.Lengo la mafunzo hayo ni kuelewa mfumo wa manunuzi kwa kutoa uelewa wa kina kuhusu mfumo wa manunuzi,taratibu,na sheria zinazohusika.

Lengo lingine  ni kuimalisha uwezo,kwa kuwawezesha wakuu wa vitengo na divisheni kutumia mfumo kwa ufanisi katika usimamizi wa manunuzi.

Lengo lilingine ni kuhakiksha uwajibikaji na kuboresha uwazi na uwajibikaji katika taratibu za manunuzi ili kuepuka matumizi mabaya ya fedha za umma.

Mada za mafunzo ni Muundo wa Mfumo wa Manunuzi,kanuni na sheria za manunuzi,hatua za manunuzi kutoka kwa mipango hadi ya utekelezaji.

Taratibu za manunuzi,uandaji wa mipango ya manunuzi,kutangaza zabuni na mapitio ,uchaguzi wa tathimini ya waandikaji zabuni.

Usimamizi wa Mkataba:Utekelezaji wa mikataba na usimamizi wake,kutatua migogoro inayotokea katika utekelezaji wa mikabati.Mada nyingine ni udhibitinwa Tathmini na utekelezaji wa kanuni za udhibiti wa fedha.na mchakato wa tathmini ya utendaji wa mfumo.

Katika mafunzo hayo mbinu za mafunzo zilizotumika ni mafunzo ya nadharia kwa kutumia wasilisho na nyaraka zinazohusiana,Mafunzo kwa vitendo, Mazoezi ya hatua za manunuzi kwa kutumia mifano halisi.

Mbinu nyingine za mafunzo ni mjadla wa kundi kwa kujadili masuala ya kawaida na cchangamoto zinazokutana katika utekelezaji wa mfumo.

 Kutokana na mafunzo hayo matokeo yanayotarajiwa ni uelewa wa kina,ambapo wakuu wa Vitengo na Divisheni wataweza kuelewa kutumia vizuri mfumo wa manunuzi.Pia wataweza kuboresha utendaji na taratibu za manunuzi zitakuwa na uwazi Zaidi,na usimamizi wa mikataba utaboreshwa.

Matokeo mengine yanayotarajiwa ni kupunguza changamoto zinazohusiana na utaratibu wa manunuzi zitapungua kwa sababu ya ujuzi wa ziada ulioongezwa.

Mafunzo haya ni sehemu muhimu katika kuhakikisha kwamba taratibu za manunuzi zinakamilika kwa ufanisi na kwa kufuata sheria.Ambapo matarajio ni kwamba mafunzo hayo yatasaidia kuboresha utendaji wa Halmashauri za wilaya na kuchangia katika maendeleo ya jamii kwa njia ya uwajibikaji wa Kifedha.

Imeandaliwa na Kibada Ernest Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Mwisho.

 


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa