• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mwenge wa uhuru wakamilisha mbio zake Wilaya ya Mlele

Posted on: September 11th, 2024

Na Kibada Ernest GCO-Mlele. Septemba  10,2024

Mwenge wa uhuru wakamilisha mbio zake katika halmashauri ya Wilaya ya Mlele na kukabidhiwa katika halmashauri ya  wilaya ya Nsimbo  iliyoko Wilaya ya Mpanda,kuendelea na mbio zake katika halmashauri hiyo.

Mwenge wa Uhuru ukiwa katika halmashauri ya Wilaya ya Mlele ulikimbizwa umbali wa kilometa 107 katika Kata tano ambazo ni Ilela,Nsenkwa,Utende,Inyonga na Kamsisi na ulitembelea Miradi ya Maendeleo na shughuli mbalimbali za Kijamii.

Ukiwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,Mwenge wa Uhuru ulizindua miradi minne na kuona uendelevu wa Mradi mmoja,ulizindua Klabu ya wapinga Rushwa ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlele,Klabu ya kupambana na dawa za kulevya  ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlele,

Shughuli nyingine zilizofanyika ni uzinduzi wa Baraza la Vijana la Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,na kukagua Miradi ya Maendeleo na Shughuli zote za Mwenge  ambapo thamani ya miradi  hiyo na shughuli zote za Mwenge ilikuwa shilingi bilioni moja na milioni saba Sitini na nane,mia tisa sitini na saba elfu, mia sita sabini na tisa na senti hamsini na mbili sh.1,768,967,679.52

Miradi ya Maendeleo na Shughuli zote za Mwenge wa Uhuru zimezingatia Jumbe za Mwenge,ambazo ni Kuzuia Rushwa ni Jukumu lako na langu,tutimize wajibu wetu,” Jamii iongoze kutokomeza ukimwi” “Lishe sio kujaza tumbo.zingatia unachokula”Ziro Malaria inaanza na mimi_nachukua hatua kuitokomeza” ‘epuka dawa za kulevya,zingatia Utu,boresha huduma za tiba na kinga”

Ujumbe Mkuu wa  Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024 wenye kauli mbiu isemayo “Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu.

Miradi iliyopitiwa na gharama zake ni  miradi ya serikali kuu milioni 890,499,500.00, halmashauri iligharamia 165,419,617.52.Jitihada za Jamii/nguvu za Wananchi Shilingi 3,334,000.00,wahisani waligharamia kiasi cha shilingi milioni 709,714,562.00 jumla ya fedha yote ni milioni 1,768,967,679.52. Mwenge unaendelea na mbio zake katika Wilaya ya Mlele. 

Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru Mwaka huu “Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu.”

MWISHO.


.Mkuu wa Division ya Utawala na Rasimali watu Bi.Habiba Mtunguja  akitoa taarifa ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,  jinsi wananchi walivyoelimishwa na kuhamaishwa ili kushiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27  mwaka huo, taarifa ilikuwa ikitolewa kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Ndugu Godfrey Mnzava alipotembelea na kukagua banda la uchaguzi hilo wakati wa mbio za mwenge wa uhuru Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Mmoja wa wakimbiza  Mwenge Kitaifa akisalimiana na Viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele  ambaye ni mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Bi.Sigilinda Mdemu baada ya kuwasili kwa Mwenge wa Uhuru  katika kijiji cha Masigo kuanza mbio zake Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Sigilinda Mdemu akisalimiana  Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya  Wilaya ya Mpimbwe Shamim Mwaliko katika eneo la mapokezi kijiji cha Masigo  baada ya kumkabidhi Mwenge wa Uhuru na kuanza kukimbizwa katika Halmashauri hiyo..


Picha Zote na Kitengo cha Mawasiliano Halmsahauri ya Wilaya ya Mlele




 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa